...
Kikapu changu
0
0
Furahia punguzo zaidi

unaponunua bidhaa za ziada!

20%
2 Idadi
35%
3 Idadi
45%
4 Idadi
55%
5 Idadi
60%
6 Idadi
65%
7 Idadi
Faida za kutumia Bidhaa hii
Huzuia uchovu wa macho na kuboresha uwezo wa kuona
Huondoa hali ya macho kukaza
Inasawazisha shinikizo la damu la macho
Inasaidia kuongeza virutubisho na madini muhimu kwa ajili ya kuboresha afya ya macho
Inasaidia kukukinga na matatizo ya macho yanayosababishwa na umri
Inasaidia kuboresha afya ya macho kwa ujumla
Inasaidia kuboresha uwezo wa kuona vizuri usiku na mchana
Visiorax inafanyaje kazi?

Visiorax ni virutubisho vya asili kwa ajili ya kuboresha afya ya macho. Imetengenezwa kwa viambata vya asili vitokanavyo na mimea, viambata hivi ni zeaxanthin, lutein, vitamini na madini mbalimbali ambayo husaidia kuboresha afya ya macho.
Matumizi ya mara kwa mara ya Visiorax husaidia kuongeza uwezo wa kuona vizuri, inawezesha macho kuwa na uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya mwanga na inasaidia kuimarisha misuli ya macho na kuta za mishipa ya macho.
Visiorax imeonyesha kuwa na ufanisi mkubwa katika majaribio yaliyofanywa kutokana na muundo wake ambao umethibitishwa. 95% ya washiriki wa majaribio haya afya ya macho kwa ujumla imeboreshwa. Visiorax ni suluhisho bora kwa mtu yeyote anayetaka kuboresha na kuimarisha afya ya macho kwa kutumia virutubisho vya asili.

Kusudi la Bidhaa
Unahitaji kutumia Visiorax kama :
01
Una matatizo ya kutokuona mbali na matatizo mengine ya macho
02
Umegundua kwamba uwezo wa kuona umepungua
03
Unahitaji kuboresha afya ya macho
04
Una matatizo ya macho kuwa makavu na macho kuwasha mara kwa mara
Maoni ya Mtaalam:
George Wilson

Daktari wa Macho, Dar es Salaam

Hivi karibuni tumegundua ongezeko la idadi ya watu wanaosumbuliwa na tatizo la huoni hafifu, jambo ambalo linasababisha hofu kubwa kwa wagonjwa wangu. Wengi wao wanaogopa kutoona kabisa hivyo wanatafuta njia yenye ufanisi kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha uwezo wa kuona.
Visiorax ni suluhisho sahihi kwa ajili ya kulinda na kuboresha uwezo wa kuona. Ni virutubisho vya asili ambavyo vina vitamini na madini muhimu kwa ajili ya kuimarisha afya ya macho, kuondoa uchovu wa macho na kulinda macho dhidi ya hatari zitokanazo na mazingira.
Before request
3 weeks

2 months

Unapotumia Visiorax pamoja na dawa zako za macho kila siku inakusaidia kupata matokeo mazuri na kuweza kuishi bila hofu kuhusu uwezo wako wa kuona. Kuchagua Visiorax ni maamuzi mazuri yatakayokusaidia kuwa na macho yenye afya.

Punguzo kwa
wateja wetu!

Kando na punguzo lako maalum, kufaidika na punguzo la ziada kwa bei ya kila bidhaa iliyonunuliwa.
Kando na punguzo lako maalum, kufaidika na punguzo la ziada kwa bei ya kila bidhaa iliyonunuliwa.
Maelezo ya mteja
Visiorax ilivyonisaidia kuona vizuri.
Hasani Mosha, Miaka 48

Dereva wa Lori, Dodoma

Mimi kama dereva wa lori, sio kwamba macho yangu ni muhimu tu kwa ajili ya kazi yangu bali pia kwa ajili ya usalama wangu. Kuendesha gari kwa masaa mengi hasa usiku imekuwa ni changamoto kubwa kwangu. Niligundua kwamba uwezo wangu wa kuona umeanza kudhoofika jambo ambalo lilinitia wasiwasi sana.
Ili kutohatarisha kazi na usalama barabarani niliamua kutafuta njia ya kuboresha uwezo wa kuona bila kutumia miwani au kufanya upasuaji. Rafiki yangu alinishauri kutumia Visiorax.
Baada ya kutumia mara kwa mara kwa wiki chache niligundua kwamba hali ya macho kuchoka imepungua na naweza kuona vizuri barabarani hata baada ya kufanya kazi kwa masaa mengi.
Visiorax imekuwa kitu muhimu kwangu. Ninashukuru sana kwa ajili ya bidhaa hii ya asili ambayo sio tu imenisaidia kuwa na kazi yangu lakini pia imeniongezea ujasiri katika kila hatua ya safari yangu. Ni bidhaa muhimu sana kwa madereva kama mimi.
Wanasema nini kuhusu Visiorax?
Maoni:
Evans Kassimu

21/03/2023

Natumia muda wangu mwingi kusoma au kuandika ubaoni na hii husababisha mara nyingi macho yangu kuchoka. Tangu nimeanza kutumia Visiorax macho yangu hayachoki sana na uwezo wa kuona umeongezeka. Sasa ninaweza kufanya kazi yangu vizuri bila shida yoyote.
Zeinabu Maulid

12/01/2023

Muda mwingi mimi napenda kukaa maeneo ya nje sana sana ufukweni lakini hivi karibuni nimegundua kwamba macho yangu yanachoka haraka kwasababu ya mwanga wa jua na kusababisha nishindwe kuona vizuri vitu vidogo. Tangu nimeanza kutumia Visiorax macho yangu hayachoki sana. Visiorax imenisaidia sana.
Mariam Husein

15/02/2023

Nimegundua kuwa macho yangu yanachoka haraka sana. Rafiki yangu alinishauri kutumia Visiorax na niliamua kujaribu kuitumia. Baada ya wiki kadhaa nilipata nafuu sana. Sasa, ninaweza kuwasomea watoto wangu hadithi usiku bila kupata uchovu wa macho.
Khalifa Omari

07/03/2023

Kuwa mfanyakazi wa shambani kunasababisha nikae kwenye jua kali kila wakati, jambo ambalo lilikuwa likisumbua macho yangu. Tangu nianze kutumia Visiorax ninahisi kuwa macho yangu hayana uchovu hata nikifanya kazi mpaka jioni.
Sabrina James

01/06/2023

Kadiri ninavyozeeka nimegundua kuwa sioni vizuri kama zamani, haswa ninapojaribu kuona watu wakiwa mbali au kusoma maandishi madogo. Binti yangu aliniletea Visiorax na nilipojaribu kuitumia ilinisaidia sana. Kwa sasa macho yangu hayachoki sana.
Rajab Abdul

27/06/2023

Sikujali sana afya ya macho yangu kwa muda mrefu mpaka nilipogundua kuwa nina shida ya uoni hafifu ambayo ilianza kuathiri kazi zangu za kila siku. Rafiki yangu ambaye alipata shida kama hiyo alinishauri nianze kutumia Visiorax. Nilishangazwa na matokeo. Bidhaa hii imenisaidia kurudi kwenye maisha ya kawaida bila vikwazo vyovyote.
Maelezo kuhusu bidhaa:
Jinsi ya kutumia
Muundo
Tutumie
ujumbe
Send us
a message
Asante kwa maoni yako!
Wasimamizi wetu watakagua yako maoni haraka iwezekanavyo!
Asante kwa swali lako!
Wasimamizi wetu watakagua yako maoni haraka iwezekanavyo!
Thank you for your feedback!
Our moderators will review your comments as soon as possible!