...
Kikapu changu
0
0
Furahia punguzo zaidi

unaponunua bidhaa za ziada!

20%
2 Idadi
35%
3 Idadi
45%
4 Idadi
55%
5 Idadi
60%
6 Idadi
65%
7 Idadi
Faida za kutumia Bidhaa hii
Inasaidia kuimarisha mfumo wa moyo na mishipa kwa njia salama na ya asili
Inasaidia kusawazisha viwango vya shinikizo la damu
Huimarisha mfumo wa mishipa
Inarekebisha viwango vya sukari kwenye damu na viwango vya kolestroli
Inaimarisha afya ya mwili kwa ujumla.
Inapunguza hatari ya damu kuganda
Imetengenezwa kwa viambata vya asili tu vitokanavyo na mimea ya asili.
Cardioton inafanyaje kazi?

Cardioton imeundwa ili kusaidia afya ya moyo na mishipa. Mchanganyiko wake ni wa kipekee ambao hufanya kazi kwa ufanisi mwilini na kusaidia kudhibiti shinikizo la damu ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia ugonjwa wa moyo.
Virutubisho hivi husaidia kurekebisha viwango vya kolesteroli na kusawazisha shinikizo la damu hivyo kupunguza hatari ya kupata atherosclerosis na hali zingine zinazohusiana na moyo na mishipa. Kuboresha mzunguko wa damu na husaidia moyo kufanya kazi ipasavyo na mishipa ya damu kuwa na afya.
Kutumia Cardioton mara kwa mara kunasaidia kuboresha afya yako kwa kupunguza maumivu ya kichwa, uchovu, na kizunguzungu. Muhimu zaidi, Cardioton imetengenezwa kwa kutumia viambata vya mimea asili, kuhakikisha kuwa unaweza kuitumia mara kwa mara bila kusababisha madhara yoyote kwa afya yako.

Kusudi la Bidhaa
Unahitaji kutumia Cardioton kama:
01
Una dalili za ugonjwa wa moyo na mishipa
02
Unapata precordialgia (maumivu ya kifua)
03
Unapata asthenia ghafla (uchovu)
04
Umegundulika kuwa na shinikizo la damu
Maoni ya Mtaalam:
Fatma Shabani

Daktari wa Moyo, Dar es Salaam

Tunashuhudia ongezeko la magonjwa ya moyo na mishipa kwa wazee na vijana. Shinikizo la damu, atherosclerosis na hali nyingine zinazohusiana mara nyingi huhusishwa na mtindo wetu wa maisha, maumbile, msongo wa mawazo na lishe. Ni muhimu kuchukua hatua za kuzuia kuliko kungojea kupata matatizo makubwa ya kiafya.
Cardioton ni zaidi ya virutubisho; Imethibitika kuwa ni bidhaa yenye ufanisi katika kudumisha na kuimarisha afya ya moyo na mishipa. Imeundwa mahsusi kudhibiti shinikizo la damu na kuboresha hali ya mishipa, inasaidia kurekebisha viwango vya kolestroli na kuboresha mzunguko wa damu, inasaidia sana kuzuia magonjwa ya moyo na mishipa.
Wagonjwa wangu ambao wameongeza Cardioton katika mpango wao wa matibabu ya kila siku wametoa mrejesho kuwa afya zao zimeimarika. Wanapata maumivu ya kichwa machache, wanalala vizuri zaidi na wanajihisi vizuri kwa jumla. Ninapendekeza Cardioton kwa mtu yeyote anayejali afya ya moyo wake na anayetamani kuzuia matatizo ya kiafya zinazoweza kutokea siku zijazo.

Punguzo kwa
wateja wetu!

Kando na punguzo lako maalum, kufaidika na punguzo la ziada kwa bei ya kila bidhaa iliyonunuliwa.
Kando na punguzo lako maalum, kufaidika na punguzo la ziada kwa bei ya kila bidhaa iliyonunuliwa.
Hadithi ya Maisha
Cardioton huimarisha afya ya moyo na kukusaidia kuishi maisha ya furaha
Zainabu Mariki

Miaka 24, Dodoma

Miezi sita iliyopita bibi yangu alipata matatizo makubwa ya kiafya. Akiwa na umri wa miaka 67 alianza kupata matatizo ya shinikizo la damu, jambo ambalo lilitutia wasiwasi sana. Madaktari walijadili hatari kupata ugonjwa wa moyo na kutushauri kutafuta suluhisho salama ambalo lingeweza kumsaidia bibi bila madhara yoyote. Hapo ndipo tulipopata Cardioton.
Baada ya kutumia Cardioton kwa wiki chache, tuliona maendeleo makubwa katika afya ya bibi kwa ujumla. Bibi alizidi kupata nguvu, maumivu ya kichwa na uchovu vilipungua na alisema kuwa anajisikia vizuri zaidi. Ilikuwa ni faraja kwa familia yetu yote.
Bibi yangu anaendelea kutumia Cardioton na afya yake inaendelea kuimarika. Tunashukuru kwa virutubisho hivi kwa sababu vilimsaidia sana bibi yetu kurudi kwenye maisha yake ya kawaida yaliyojaa furaha na na kuweza kufanya kazi zake.
Wanasema nini kuhusu Cardioton?
Maoni:
Samira Juma

30/12/2022

Baada ya kupata shinikizo la damu nilikuwa natafuta tibalishe ya asili ambayo inaweza kunisaidia. Cardioton ikawa mkombozi wa maisha yangu. Baada ya kutumia kozi nilijihisi vizuri sana. Shinikizo langu la damu likawa sawa, maumivu ya kichwa yaliisha. Sasa ninaweza kufurahia maisha bila kuogopa shinikizo la damu.
Aisha Khalid

28/01/2023

Ninaumwa shinikizo la damu la kurithi na nilikuwa nikitafuta suluhisho bora na salama. Cardioton imebadilisha maisha yangu. Baada kutumia Cardioton kwa mwezi mmoja tu nilijisikia vizuri, maumivu ya kichwa yaliisha, shinikizo la damu likawa sawa. Ninashukuru kwa bidhaa hii.
Neema Charles

29/01/2023

Baada ya kugundulika kuwa nina ugonjwa wa atherosclerosis nilianza kutumia Cardioton. Tibalishe hii sio tu iliboresha afya yangu lakini pia ilinirudishia furaha ya maisha. Ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa ajili ya tibalishe hii, ambayo ilinipa nafasi ya pili ya maisha yenye afya.
Halima Seif

20/03/2023

Nimekuwa na wasiwasi juu ya afya yangu kwa sababu ya historia ya magonjwa ya familia. Cardioton ilinisaidia kudhibiti shinikizo la damu na kuniondolea hofu. Sasa ninaishi maisha yangu vizuri na nina furaha kila siku.
Lilian Ayubu

16/04/2023

Kuongezeka kwa shinikizo la damu na uchovu vilinisumbua mara kwa mara mpaka nilipoijua Cardioton. Bidhaa hii ilinisaidia sana kuboresha na kuimarisha mfumo wangu wa moyo na mishipa, kuboresha mzunguko wa damu na kuimarisha moyo wangu. Ninashukuru kwa kuwa na uwezo wa kuishi kikamilifu bila hofu au wasiwasi kuhusu afya yangu.
Witness Nathan

22/04/2023

Cardioton sio tu ilinisaidia kupunguza shinikizo la damu bali pia ilinisaidia kuondoa wasiwasi wa mara kwa mara kuhusu afya yangu. Sasa ninajihisi mwenye afya njema na nguvu.
Maelezo kuhusu bidhaa:
Jinsi ya kutumia
Muundo
Tutumie
ujumbe
Send us
a message
Asante kwa maoni yako!
Wasimamizi wetu watakagua yako maoni haraka iwezekanavyo!
Asante kwa swali lako!
Wasimamizi wetu watakagua yako maoni haraka iwezekanavyo!
Thank you for your feedback!
Our moderators will review your comments as soon as possible!